
MKULAZI HOLDING COMPANY LIMITED

Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa wa Hifadhi ya jamii (NSSF) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Ali Idi Siwa wamefanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Machi 20, 2023.