
MKULAZI HOLDING COMPANY LIMITED

Wajumbe wa Bodi ya Kampuni Hodhi ya Mkulazi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Hildelitha Msita wametembelea na kukagua miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Miwa Mbigiri pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha sukari April 13, 2023.