Image

MKULAZI HOLDING COMPANY LIMITED

Image
Mr. Selestine J Some
Mr. Selestine J SomeChief Executive Officer
I am pleased to welcome you to the Mkulazi Holding Company limited (MKULAZI) website; a site that will give you the insight on its operations and give details of what we do, our service, projects we have undertaken and other initiatives in the sugar sector.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mkulazi Dkt.Hildelita Msita, Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Ā Alhaji Majid Mwanga (kushoto) na Ā Mtendaji Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Mkulazi Bw. Selestine Some (kulia)

Waziri Mkuu akagua shamba la miwa mbigiri na maendeleo ya ujenzi wa kiwanda sukari, katika wilaya ya kilosa Mkoani Morogoro
LEARN MORE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, bunge na Uratibu) Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikagua na kupata maelezo ya vifaa vya ujenzi wa kiwanda cha sukari Kutoka kwa Mhandisi John Bura
LEARN MORE

Waziri Jenista Mhagama akitembelea ujenzi maeneo tofauti ya Mkulazi

Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Sukari Mbigiri Mr. Selestine Some akiongea na Mkuu wa Gereza la Mbigiri
LEARN MORE

PROJECTS

MHCL is implementing two Sugar projects which targets to produce 250,000 MT of sugar per annun. One of these project is known as Mkulazi I Sugar Production Project which will be implemented on farm No.217 located in Mkulazi, Morogoro Rural District.

The targeted production for Mkulazi I is to produce 200,000MT of sugar per annum. Another project is Mkulazi II which is being implemented at Mbigiri, Kilosa District in Morogoro Region. This project aims at producing 50,000MT of sugar per annum once fully operational.

LATESTCURRENTBREAKINGNEWS

PARTNERS