
MKULAZI HOLDING COMPANY LIMITED

Mheshimiwa Jenista Mhagama amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni Hodhi
ya sukari kuongeza mashamba ya miwa ili kukidhidhi mahitaji ya sukari nchini.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni Hodhi ya sukari kuongeza mashamba ya miwa ili kukidhidhi mahitaji ya sukari nchini. aliyasema hayo katika ufunguzi wa kiwanda cha sukari Mkulazi 2 yaliyofanyika jijini Morogoro Agosti 7,2018. "Ninakuagiza Mkurugenzi uongeze juhudi mpaka mwishoni mwa mwaka huu mashamba yafikie hekta elfumbili mia nne ili watanzania wengi wapate ajira na kiwango cha sukari kiongezeke zaidi na kwakufanyahivyo bei ya sukari itapungua.