Image

MKULAZI HOLDING COMPANY LIMITED

Image
Mr. Selestine J Some
Mr. Selestine J SomeChief Executive Officer
I am pleased to welcome you to the Mkulazi Holding Company limited (MKULAZI) website; a site that will give you the insight on its operations and give details of what we do, our service, projects we have undertaken and other initiatives in the sugar sector.

Ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Mbigiri unaendelea.

Mwonekano wa Shamba la Miwa la Mbigiri

Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Sukari Mbigiri Mr. Selestine Some akiongea na Mkuu wa Gereza la Mbigiri
Read more

PROJECTS

MHCL is implementing two Sugar projects which targets to produce 250,000 MT of sugar per annun. One of these project is known as Mkulazi I Sugar Production Project which will be implemented on farm No.217 located in Mkulazi, Morogoro Rural District.

The targeted production for Mkulazi I is to produce 200,000MT of sugar per annum. Another project is Mkulazi II which is being implemented at Mbigiri, Kilosa District in Morogoro Region. This project aims at producing 50,000MT of sugar per annum once fully operational.
WAZIRI WA NCHE OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI, VIJANA, AJIRA NA WATU WENYE ULEMAVU MH. PROF. NDALICHAKO.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameipongeza  Kampuni  Hodhi ya Mkulazi  kwa kazi nzuri ya  ukulima wa miwa ambayo itatumika kama malighafi ya kuzalisha sukari kwenye kiwanda cha Sukari Mbigiri. Ametoa pongezi hizo  tarehe 21 Julai,2022 Wilaya ya Kilosa wakati  ...

WAZIRI  CHANA AHIMIZA KUMALIZIKA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI KWA WAKATI

Serikali imehimiza mkandarasi anayesimamamia kazi ya ujenzi Kiwanda cha Sukari Mkulazi kufanya kazi hiyo ndani ya muda ulioweka kwenye Mkataba.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIPONGEZA BODI YA KAMPUNI HODHI YA MKULAZI KWA SHAMBA BORA YA MIWA

Amewaagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tixon Nzunda wakutane ili wakamilishe taratibu za utoaji wa mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha Sukari cha Mbigiri.

KUKAMILIKA KWA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI

Ujenzi Kiwanda cha Sukari Mbigiri kilichopo wilaya ya Kilosa Mkaoni Morogoro umefikia asilimia 55 ambapo kinatarajiwa kuanza kuzalisha sukari hivi karibuni. Kiwanda hicho kina ukubwa wa eneo la hekta  4,856, kati ya hizo eneo la hekta 3,600 zitalimwa na kupandwa miwa. Tayari eneo lenye ukubwa wa hekta  2,810 limeshapandwa miwa ambalo ni sawa na ...

PARTNERS